Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za Maboga

Mbegu za maboga zinaprotini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki,kopa, maginizia, manganizi na chuma, mbegu z...

Mbegu za maboga zinaprotini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki,kopa, maginizia, manganizi na chuma, mbegu za maboga ni tamu na zinawezakutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kamamimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za mabogazina faida nyingi kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa hatari zaidiya 10 yafuatayo:

1. UGONJWA WA MOYO:

Kiasi kingi cha madiniya magnesium katika mbegu za maboga yanazifanya mbegu hizi kuwa mhimu sana kwawatu wenye magonjwa mbalimabli ya moyo. Madini ya magnesium ni mhimu kwa ajiliya kuimarisha msukumo wa damu kwenye moyo na kuimarisha afya ya mishipa ya damuhatimaye kutibu na kuzuia magonjwa ya moyo. Mbegu hizi pia zina mafuta menginemhimu zaidi kwa watu wenye ugonjwa wa moyo yenye OMEGA 3.

2. HUIMARISHA KINGA YAMWILI:

Mbegu za mabogazimebarikiwa kuwa na kiasi cha kutosha cha madini ya zinki (zinc). Kazi kubwaya madini ya zink ni kuimarisha kinga ya mwili. Upungufu wa madini ya zinkunaweza kupelekea matatizo kadhaa mwilini ikiwemo kuzaa watoto njiti, kuishiwanguvu za kiume, matatizo ya homoni, chunusi nyingi mwilini, watoto kuwa nauwezo mdogo shuleni kimasomo na matatizo mengine kadhaa ya kimwili na kiakili.

3. HUONGEZA UWEZO WAMACHO KUONA

Mbegu za maboga zinaVitamini E, vitamini A, lutein, beta-carotene na zeaxanthin, vitu hivivinavyopatikana katika mbegu za maboga ni mhimu kwa ajili ya nuru ya macho.Vitamini A na madini ya zinki ni mhimu kwa ajili ya uzalishaji wa ‘melanin’kimeng’enya mhimu ambacho hutengenezwa kwa asili na miili yetu kwa ajili yaulinzi wa afya ya macho.

4. KINGA YA KISUKARI

Kisukari ni moja yaugonjwa unaoendelea kwa kasi kuwasumbua watu wengi kila pembe ya dunia. Mbeguza maboga zina vitu vitatu mhimu zaidi ambavyo ni ‘Nicotinic acid’,‘Trigonelline’ na ‘D-chiro-inositol’ ambavyo husaidia kushusha damu sukarimwilini na kudhibiti kazi za insulini hivyo kuwa kinga na kuleta ahueni kubwakwa watu wenye kisukari.

Kama unasumbuliwa nakisukari fanya mazoea ya kutafuna mbegu za maboga kila siku na unipe mrejeshohapa.

5. DAWA BORA YAUSINGIZI

Mbegu hizizimegundulika pia kuwa na kirutubisho kinachozalisha homoni za usingizi. Kwenyembegu za maboga kuna vimeng’enya viwili mhimu zaidi ambavyo huhusika nausingizi na afya ya akili moja kwa moja navyo ni ‘L-tryptophan’ na‘tryptophan’. Gramu 100 tu za mbegu za maboga zina kiasi cha kutosha cha‘tryptophan’ mpaka mg 576. Tryptophan ndiyo inahusika kuleta usingizi wenyeutulivu pia huondoa msongo wa mawazo au stress mwilini. Kwa kuongezea mbegu zamaboga zina kiasi kingi cha vitamini za kundi B. Muda mchache kabla ya kwendakulala tafuna mbegu za maboga na utapata usingizi mtulivu kabisa mpaka asubuhi.

Kwahiyo kama unatatizo la kukosa usingizi jaribu kutumia mbegu za maboga na uniletee majibuhapa. Kumbuka kukosa usingizi mara nyingi huwa ni matokeo ya msongo wa mawazona kama ulivyoona mbegu hizi zinaondoa pia stress! Kazi ni kwako ndugu.

6. DAWA BORA YA UVIMBE

Mbegu za maboga zinaouwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini sambamba na uvimbe (inflammation). Kamaujuavyo sehemu kubwa ya vivimbe mwilini ni matokeo ya sumu kadhaa mwilini.Mbegu za maboga zitakuondolea uvimbe mwilini bila kukuachia madhara yoyotemabaya hapo baadaye. Kama unasumbuliwa na uvimbe popote jaribu kutumia mbegu zamaboga na utuletee majibu. Mbegu za maboga pia ni dawa nzuri kwa aina nyingi zakansa mwilini.

7. HUONGEZA MAZIWA KWAMAMA ANAYENYONYESHA

Mbegu za maboga zinaprotini nyingi bora itokanayo na mimea isiyo na madhara kama ile ya kwenyewanyama. Pia zina OMEGA 3. Mama mjamzito hata unayenyonyesha tumia mbegu zamaboga na utakuwa na uhakika wa kutoa maziwa ya kutosha kwa ajili ya mtoto.

8. DAWA NZURI KWAMATATIZO YA TEZI DUME

Wataalamu wengi walishe wanapendekeza mbegu za maboga zitumike kwa wanaume wa rika zote yaanivijana hadi wazee kwani zimethibitika kuwa msaada mkubwa kwa afya ya tezi dume.Tafiti nyingi zinasema mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya Zinkimadini ambayo ni mhimu SANA kwa afya ya tezi dume na husaidia uponyaji watatizo la tezi dume moja kuwa kubwa kuliko nyingine tatizo lijukanalo kwakitaalamu kama ‘benign prostatic hyperplasia’. Wanaume kazi ni kwenu.

9. ZINAONGEZA NGUVU ZAKIUME

Maajabu mengine yambegu za maboga ambayo ulikuwa huyajuwi bado.

Utaniuliza kivipizinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongowa mawazo/stress kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvuza kiume, lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari,zinatibu tezi dume (matatizo kama ya ngiri nk), zinashusha kisukari, zinaprotini nyingi ya kutosha na yenye ubora na mbaya zaidi ni kuwa zina madini yaZINKI madini mhimu kuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiumena kinga ya mwili. Bado huelewi? Zina madini ya chuma pia

Uzuri ni kuwa mbeguhizi hazina uchungu wowote, ni tamu kuzitafuna wakati wowote na mahali popotehata ukiwa ofisini unaweza kuwa nazo pembeni unatafuna huku unaendelea na kazizako. Sambamba na hilo kama tulivyoona pale juu kwamba zinaongeza maziwa kwamama anayenyonyesha kwa upande wa wanaume zinaongeza pia uwingi wa mbegu zakiume (sperm count) ukitafuna mbegu za maboga siku mbili tu utaona ukimwaga baolinatoka la kutosha na zito kweli kweli basi ujuwe ni mbegu za maboga hizo.

10. ZINAONDOA PIAMSONGO WA MAWAZO (STRESS)

Msongo wa mawazo austress kama mlivyozoea wengi ni tatizo linaloendelea kuwasumbua watu wengimiaka ya sasa. Mbaya zaidi wengi huwa hawaelewi nini madhara ya hizo stresswanazojipa. Yaani stress au msongo wa mawazo unaweza kukuletea magonjwa menginemwilini zaidi ya 50, hivyo utaona ni jinsi gani ilivyo mhimu kwako kuweka chinistress zako na uendelee na maisha kwani kuendelea kuwa na stress ni hatarizaidi kwa afya yako.

Moja ya sababu kuu yawatu wengi kuwa na stress ni usawa usio sawa wa homoni zao (hormonalimbalance). Hivyo kama una tatizo la homoni kwenye mwili hebu weka mazoea yakutafuna mbegu za maboga kila siku na hutakawia kuona tofauti. Mbegu za mabogazina kimeng’enya mhimu sana kwa kutuliza mawazo kiitwacho ‘tryptophan’ na asidiamino zingine mhimu zinazohusika kutengenezwa kwa homoni nyingine ijulikanayokama ‘serotonin’. Kama ulikuwa hujuwi ni kuwa serotonin ni homoni inayohusikana kazi mhimu sana ya kurekebisha matendo ya kitabia na kutoa matokeo chanyakwa mambo yanayohusu usingizi, hali ya mawazo kwa ujumla na mambo yanayohusunjaa.

Mbegu za maboga nimsaada mkubwa kwa kina mama waliofikia ukomo wa siku zao na huondoa matatizo yakiafya yatokanayo na kukoma kwa hedhi. Ni msaada kwa watu wenye saratanimbalimbali, huimarisha ukuaji na ustawi wa mifupa na meno, huondoa harufu mbayaya kinywa na husaidia pia wenye tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumukila mara.

NAMNA NZURI YA KULAMBEGU ZA MABOGA:

Unaweza kula zikiwakavu na ndiyo utapata faida nyingi zaidi ingawa mimi napenda kuzikaanga kidogokama dakika 15 hivi na huwa nazichanganya na maji ya chumvi ya mawe ya baharinikidogo kwa mbali ili kupata radha.

Unahitaji ujazo wakiganja kimoja cha mkono wako cha mbegu za maboga kwa siku ujazo wa kama nusukikombe cha chai hivi kwa siku.

No comments

Latest Articles