Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Mambo usiyo yajua Juu Ya Maji ya Kunywa

Inapendezakunywa maji mengi kwa siku na mtu ajitahidi anywe hata zaidi ya lita tanao kamawalivyoshauri wataalam wa mambo hayo. Maji pia usai...

Inapendezakunywa maji mengi kwa siku na mtu ajitahidi anywe hata zaidi ya lita tanao kamawalivyoshauri wataalam wa mambo hayo.
Maji pia usaidia kuondoa ugonjwa mwilini na homa za mara kwa mara.tikitimajihusaidia kuamasha hamasa mwili.
Kitu gani husababisha uume usimame?
Unaweza kujibu ni msisimko. Ni kweli, Jibu lako linaweza kuwa sahihi. Hatahivyo msisimko ni matokeo. Kipo kinachosababisha kutokea huo msisimko. Bilahicho, hakuna msisimko unaoweza kutokea.
Kila mwanaume anatakiwa kujuwa jibu sahihi la swali hili ili atakapopatwa natatizo atambuwe wapi pakuanzia na pa kuishia. Siyo lazima uwe daktari, Elimu yakutambua mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na sikwa madaktari pekee kama watu wengi mnavyodhani.
Kutokusoma soma lolote kuhusu miili yetu inavyofanya kazi ndiyo sababu kubwainayotufanya kuparamia dawa kiholela na hivyo kujikuta tunapata madhara zaidibadala ya kujitibu.
Mzunguko wa damu ndicho kitu kinachofanya uume USIMAME. Na kabla hujaendeleakusoma tambua jambo moja mhimu;

‘’Asilimia94 ya damu ni maji’’.

Hiini kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwakifupi maji ndiyo kila kitu mwilini, nakushauri upendelee Kunywa maji bilaKUSUBIRI KIU.
Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri kama inavyotakiwa na usio na hitilafuyeyote ni kipengele mhimu sana katika afya ya mwili, mishipa na kusimama kwauume wako.

TIPSYA MAJI

  1. Kunywa angalau lita 2 hadi 5 kwa siku.
  2. Usisubili kiu ndio unywe maji.
  3. Tengeneza latiba ya kunywa maji.
  4. Usiangaike na madawa ya hospital.

No comments

Latest Articles