Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

MAGONJWA MATATU HATARI HUMPATA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Ziposababu mbalimbali ambazo huchangia wanaume kukosa nguvu za kiume. Miongonimwa sababu zinazochangia kukosekana kwa nguvu za kiume ni pamo...

Ziposababu mbalimbali ambazo huchangia wanaume kukosa nguvu za kiume.

Miongonimwa sababu zinazochangia kukosekana kwa nguvu za kiume ni pamoja na unywaji wapombe kupindukia, mfadhaiko (stress), Ulaji wa vyakula pasipo kufuata ushari wawataalamu wa lishe na tiba, unene kupita kiasi na sababu zinginezo.

Pamojana kuwepo na tatizo hili,  ambalo limekuwa likizungumzwa na watu wengi,watu hao wamekuwa wakitafuta suluhisho kwa waganga wa kienyeji huku wakidhaniwapo sahihi kumbe laaa, leo hii kila kibao cha mganga wa kienyeji kimeandikwa tunatibu nguvu za kiume kitendo hiki kimekuwa kikisababisha watuwengi kutupa fedha zao huku tatizo hilo kubakia palepale.

Hivyokama unakabiliwa natatizo hili ni vyema ukahakikisha ya kwamba unakwenda kwawatalamu wa afya ili uweze kupata tiba sahihi juu ya tatizo hili.

Lakinipia utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonesha kuwa wanaume wenye tatizo languvu za kiume pia hukabiliwa na magonjwa mengine.

Inaelezwakuwa wanaume wenye mbegu chache za kiume wanakabiliwa na tatizo la mafuta mengimwilini, shinikizo la damu pamoja na mafuta machafu katika mishipa ya damu.

Kutokana na utafitihuu, wanaume wanashauriwa kuhakikisha wanafanya vipimo vya magonjwa mengine iliwawe salama zaidi.

No comments

Latest Articles