Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachanana mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimukwa ajili ya af...
Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachanana mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimukwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanyahivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugaliwake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti nalile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yakoyote.
No comments