Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sanamfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukumadamu kwenda sehemu ...
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sanamfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukumadamu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwambichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.
Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla yatendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa. Unawezaukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unawezaukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzimanusu saa kabla ya tendo.
Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku,katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichiuliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawiziinaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje.Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako yatangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizipeke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini
Tangawizi husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Kwahivyo, ni bayana kuwa kiungo cha mwanamume kinachoshiriki tendo la ndoakitakuwa na damu ya kutosha na pia kusimama kwa muda mrefu. Pia, ulaji watangawizi husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
Kilele cha juu zaidi cha furaha katika ndoa yoyote ile, kamainavyojulikana, ni furaha inayopatikana wakati wa kufanya mapenzi. Ni vizurikuelewa kuwa kuishiwa na nguvu za kiume kunaweza kuhusishwa na kuongezeka kwaumri.
Tafiti mbalimbali zinadhihirisha kuwa wanume wa umri kuanziamiaka 61 na kuendelea hupatwa na tatizo hili zaidi kulikuko wanaume wa miaka 41kushuka chini.
Nimuhimu kuelewa kuwa kuna visababishi vya upunguvu wa nguvu za kiume ni vyingi.
Na tumia virutubisho sana na epuka vyakula madawa na vinywaji vyenye kemikalimfano pombe,soda,madawa ya kulevya,dawa za hospital….
No comments