Folic asidi ni kitu mhimu katika kuongezeka kwa mbegu za kiume. Spinachina mboga nyingine za majani zenye rangi ya kijani ni mhimu kwa ajili...
Folic asidi ni kitu mhimu katika kuongezeka kwa mbegu za kiume. Spinachina mboga nyingine za majani zenye rangi ya kijani ni mhimu kwa ajili hii sababuya vitamini na kuweka sawa usawa wa ‘folate’ kwenye mfumo wako wa mwili.
Kama folate ipo chini kuna uwezekano ukawa unatengeneza mbegu zisizo na umbilelinalotakiwa kwa uzazi na hiyo hupelekea shida na matatizo mengine ya uzaziupande wa mwanamke (birth defects) kama ujauzito kutoka mara tu mimbainapotungwa.
No comments