Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Faida Ya Mvinyo mwekundu (Red Wine)

Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baa...

Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.
Utafiti umedhihirisha kuwa mvinyo mwekundu una wezo wa kuongeza msukumo wa damu. Elewa kwamba kiwango cha msukumo wa damu ni muhimu ili kuhakikisha kuwa uume umesimama wakwati wa kujamiiana.
Pia, mfinyo mwekundu huuchangamsha mwili kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya kufanya mapenzi.

ONYO
Usinywe Kupitiliza ita Leta mazala kwenye Afya Yako

No comments

Latest Articles