Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihikuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwanirangi...
Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihikuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwanirangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukwelijuu ya afya yako.
1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):
Unakunywa maji mengi.
2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo. Ni kawaida, unaafya na Mwili wako una maji ya kutosha.
3. Manjano iliyo pauka.Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji yakutosha
4. Njano iliyo kolea. Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa majiya kutosha.
5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama yaAsali. Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa.
6. Rangi ya Kahawia. Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako auUpungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktarikamali hii ikiendelea.
7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu. Kama hujalamatunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una famu kwenye kibofuchako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara yaugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenyekibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.
No comments