Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

NJIA ZINGINE ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME AMBAZO SIYO CHAKULA

1. Acha mawazo Msongo wa mawazo Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume nakusababisha nguvu kupungua nguvu za...

1. Acha mawazo
Msongo wa mawazo
Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume nakusababisha nguvu kupungua nguvu za kiume na hata uume wenyewe.
Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko au stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla yakuamua kutumia dawa yoyote. Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na haliya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja nakujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala yakufunga na kuomba kwa Mungu huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!.
2. Jitibu magonjwa yafuatayo
Kama tatizo limesababishwa na magonjwa kama kisukari, vidonda vya tumbo,shinikizo la juu la damu au uzito kupita kiasi ni vema ukajitibu kwanza maradhihaya. Tatizo ni kuwa watu wameaminishwa kwamba maradhi haya hayana dawa jamboambalo si kweli.
Kisukari, shinikizo la juu la damu, vidonda vya tumbo na hata uzito kupitakiasi ni magonjwa yanayotibika kabisa hasa kwa kutumia dawa mbadala na kufuatamuongozo sahihi katika kula na kunywa kwa kipindi cha majuma kadhaa.
3. Acha vilevi
Kama tatizo linatokana na matumizi ya vilevi, hatua ya kwanza ni kuviachakwanza hivyo vilevi. Ndiyo kuviacha kwanza, unatakiwa ujiulize mwenyewe kipi nimhimu kwako ndoa yako au hivyo vilevi? Mtu anayejali vilevi kuliko hata afyayake hafai.
Kuna watu wanajidanganya kwamba ukitumia sijuwi kilevi fulani nguvuzinaongezeka, ni kweli zitaongezeka hapo mwanzoni mwa matumizi ya hicho kilevilakini kadri siku zinavyoenda ndivyo utakavyoendelea kuwa mtegemezi wa hichokilevi na itafika siku hata hicho kilevi hakitasaidia kitu na hapo ndipo hatarizaidi ya kutotibika tatizo lako itakapojitokeza.
4. Fanya mazoezi ya viungo
Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi yaviungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wanguvu za kiume.
Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym.Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha namazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongezakiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.
Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging)kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibuwa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama. Una chuchumaa nakusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tenakuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko(rounds) mitano kila siku.
5. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi
Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kamaanavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majaniya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!. Inawezekana kuna ukwelikidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala usije ukasema huyu jamaaanahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe na haraka hivyo utanielewa tuninachotaka kusema
Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowotewa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anawezakushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24. Angalia na umsome pia mwenzawako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendikushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi40 hivi.
Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uwezo wa kuchelewa kufikakileleni. Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapigapunyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako. Kwahiyo unawezakushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wakutosha wa kuandaana kabla ya tendo na siyo haraka haraka tu (mambo ya shorttime).
6. Tumia unga wa msamitu
Unga wa msamitu (mtishamba wa porini) ni mzuri sana katika kutibu tatizo languvu za kiume na pia unasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiumehasa lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwaniunaimarisha sana mishipa ya uume.
Pia unaweza kuutumia hata kama unasumbuliwa na tatizo la kisukari. Msamitu unaouwezo mkubwa katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa hata kwa kina mama pia.
Msamitu pia unatibu magonjwa yafuatayo bila shida yoyote; pumu, chango lauzazi, kupooza mwili, unaondoa kabisa gesi tumboni na kuongeza nuru ya machokuona.
Msamitu unao uwezo pia wa kuongeza ukubwa wa uume wako. Labda utauliza kwanamna gani?, kwa sababu moja ya kazi zake mwilini ni kuponya mwili uliokuwaumepooza, mwili unapokuwa umepooza ina maana hata damu yako pia inakuwahaitiririki vizuri kama inavyotakiwa na mzunguko mzuri wa damu una umhimukatika nguzu za kiume.
Kwa kuwa mwili ulikuwa umepooza, Msamitu unapokuja kukutibu unakufanya kuwa mtuuliyechangamka na damu yako itaanza kuwa inatiririka kwa mtiririko mzuri zaidina kama matokeo yake utaanza kuona hata ukubwa wa mheshimiwa unaanza kuongezekakidogo kidogo.
Na hii ni hasa kwa wale ambao walizaliwa na uume wa kawaida lakini sababu yapunyeto, lishe duni au stress walijikuta maumbile yao yanaanza kusinyaa aukupungua badala ya kuongezeka.
7. Mafuta ya habbat soda
Ukiacha uwezo wake katika kuongeza stamina na nguvu kwa wanaume na kuongezahamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, mafuta haya pia hutumika kutibu tatizo laafya dhaifu la mbegu za kiume na kuongeza wingi wake kwa ujumla (semen count).
Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali, mbegu za kiume zinaonekana kuimarika na kuwanyingi za kutosha baada ya kutumia dawa hii kwa miezi miwili kila siku.
Matumizi : Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku

Kwa Mawasiliano. Emadmk18@gmail.com

No comments

Latest Articles