Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Fahamu Njia Sita za Asili za Kuongeza Nguvu za Kiume ..

Upungufu wa nguvu zakiume umekua tatizo kubwa sana kwa watu wengi. Tatizo hili limewakumba wanaume wengiwalio katika ndoa na hata wale ambao...

Upungufu wa nguvu zakiume umekua tatizo kubwa sana kwa watu wengi. Tatizo hili limewakumba wanaume wengiwalio katika ndoa na hata wale ambao bado hawajaoa.
Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta utatuzikwani tatizo hili huwafanya kuwa na wasiwasi wa maisha. Ndoa nyingi zimevunjikana mahusiano kuharibika kwa sababu ya tatizo hili.
Kwa wanaume wenye umri mkubwa, upungufu wa nguvuza kiume unaweza usiwe ni tatizo kwani mwili unakuwa umechoka.
Hizi hapa ni baadhi ya njia zitakazokusaidiakurudisha nguvu za kiume zilizokuwa zimepotea.

  1. Jitahidi kutumia vinywaji na vyakula visivyokuwana sukari nyingi.

    Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi kwanini adui mkubwa sana wa afya yako hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume.Kula vyakula  asili na nafaka ambayo haijakobolewa, kula matunda kwa wingipamoja na mboga za majani. Utafurahia maisha ya kula vyakula asili na utakuwaimara katika tendo la ndoa.
  • Epuka unywaji wa Pombe.

    Tafiti zinaonesha kwamba pombe inakupa hamu aushauku ya kufanya tendo la ndoa lakini inakunyima uwezo wa kufanya tendo hilo,kwani hupunguza kiwango cha maji mwilini.

  • Fanya mazoezi ya viungo.

    Watu wengi wamelemewa na magonjwa kwa sababu tumwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbali mbali kama vile ubongo, inina figo ambazo ndio sehemu zenye kuufanya mwili wako ufanye kazi katikauhalisia wake. Uume ili usimame kwa uimara, unatakiwa upate damu ya kutosha.
    Kufanya mazoezi hupunguza kuwango cha mafutakatika mishipa ya damu na kuiwezesha kupeleka damu ya kutosha katika maeneombalimbali ya mwili ikiwemo uume.

    Rudisha Virutubisho ambavyo vimepotea mwilinimwako.

    Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingikama zinki, chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi, kwani madini hayandiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki. Madni hayahuwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwangokizuri na kuimarisha mwili wako. Madini haya hupatikana katika mboga, samaki namatunda ya aina mbalimbali.

    Kunywa maji ya kutosha kila siku.

    Kunywa maji ya kutosha kila siku, usingoje mpakakiu ikupate. Mtu mzima anapaswa kunywa maji glass 8 mpaka 10 kwa siku. Majihusaidia kuongeza kiwango cha damu na kuondoa sumu mbalimbali mwilini.

    Epukana na msongo wa mawazo.

    ufanyaji wa tendo la ndoa huwa unahusisha mambomengi. Unaweza ukawa umekamilika kiafya lakini ukashindwa kufanya mapenzi kwakuwa una msongo wa mawazo. Hakikisha kabla ya kwenda faragha na mpenzi wako,unaituliza akili na usiwaze mambo mengine nje ya tendo linaloenda kufanyika.Hii itakupa muda mzuri wa ubongo wako kupeleka damu ya kutosha katika uume.

No comments

Latest Articles