Mayaiyanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegupamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nying...
Mayaiyanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegupamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nyingi na protini yakutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu.
Mayai yanafanya kazi nyingine mhimu nayo ni kuzilinda seli za mbegu za kiumekutoshambuliwa na vijidudu nyemelezi kirahisi ambavyo vinaweza kuwa sababu yakupungua kwa mbegu zako.
Viinilishe vilivyomo kwenye mayai vinafanya kazi ya ziada ya kuzifanya mbeguzenye afya zaidi na zenye nguvu zaidi jambo ambalo ni mhimu kwa ajili ya uzazikwa upande wa mwanaume..
Utafitiuna onyesha ya kwamba
Wazeewa zamani walikua wana tumia mayai sana na ndiomaana walikua na nguvu zakutosha kulingana na watoto wao wa kizazi hiki cha leo
NguvuTips
- Kumbuka ni mayai ya kuku wa kienyeji tu yanayofaa kwa kazi hii
- Kila siku kula mayai mawili mpaka matatu
No comments