Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Umuhimu Wa Mbegu za maboga

Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayoulikuwa huyajuwi bado. Utaniuliza kivipi zinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza kab...

Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayoulikuwa huyajuwi bado.
Utaniuliza kivipi zinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza kabisazinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufuwa nguvu za kiume.
Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu tezidume (matatizo kama ya ngiri nk), zinashusha kisukari, zina protini nyingi yakutosha na yenye ubora na mbaya zaidi ni kuwa zina madini ya ZINKI madini mhimukuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiume na kinga ya mwili.
Bado huelewi? Zina madini ya chuma pia Uzuri ni kuwa mbegu hizi hazina uchunguwowote, ni tamu kuzitafuna wakati wowote na mahali popote hata ukiwa ofisiniunaweza kuwa nazo pembeni unatafuna huku unaendelea na kazi zako.
Sambamba na hilo kama tulivyoona pale juu kwamba zinaongeza maziwa kwa mamaanayenyonyesha kwa upande wa wanaume zinaongeza pia uwingi wa mbegu za kiume(sperm count) ukitafuna mbegu za maboga siku mbili tu utaona ukimwaga baolinatoka la kutosha na zito kweli kweli basi ujuwe ni mbegu za maboga hizo.

MBEGU ZA MABOGA TIPS

  1. zinaondoa msongo wa mawazo.
  2. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol),
  3. zinatibu tezi dume (matatizo kama ya ngiri nk),
  4. zinashusha kisukari,

zina madini ya ZINKI madinimhimu kuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiume na kinga yamwili.

No comments

Latest Articles