Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Umuhimu wa ndizi

Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwazajuu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na...

Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwazajuu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenyemuhimu katika kujamiiana. Ndizi mbivu zinatajwa kusaidia kujenga misuli mwilinina kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.
Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa chavitamin B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasawakati wa kufanya kazi nzito.

No comments

Latest Articles