Chakulaambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambay...
Chakulaambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi.
Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katikauzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwanamsisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongezamajimajiyenye utelezisehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wakujamiiana.
Hili ni tunda ambalo watafiti wamebaini kwamba lina uwezo wa kuongeza nguvu zakiume. Tunda hili lina uwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E. Vitamini Ehusaidia katika uzalishaji wa homoni zinazosaidia kuongeza nguvu za kiume.
Kulingana na watafiti tofauti, watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwa namsisimko mkali haswa wakati wa kufanya mapenzi. Pia, faida za tunda hilihaziengemei upande wa wanaume pekee.
Katika upande wa wanawake, tunda hili husaidia kuongeza majimaji yaliyo nautelezi katika sehemu za siri za mwanamke ili kuzuia uwezekano wa kuchubukawakati wa tendo la ndoa.
No comments