Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Umuhimu Wa Tikiti Maji

Matikitimaji ni tunda muhimu sanna kwa kulinda ndoa inatakiwa walau kwa siku upatevipande viwili au vitatu na sasa yapo kwa wingi ushindwe w...

Matikitimaji ni tunda muhimu sanna kwa kulinda ndoa inatakiwa walau kwa siku upatevipande viwili au vitatu na sasa yapo kwa wingi ushindwe wewe na ni muhimuukala na mbegu zake.
Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini,Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium,Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.
Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wafahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo lajuu la damu .

MatikitiTips

Faidanyingine 12 za tikiti maji kiafya ukiacha hii ya nguvu za kiume

  1. Asilimia 92 yake ni maji
  2.  Vitamini A ndani yakehuboresha afya ya macho
  3. Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,
  4. Huponya majeraha,
  5. Hukinga uharibifu wa seli
  6. Huboresha afya ya meno na fizi.
  7. Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema.
  8. Hubadilisha protin kuwa nishati.
  9. Chanzo cha madini ya potasiamu.
  10. Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la damu.
  11. Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini.
  12. Huondoa sumu mwilini
    Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya mara hivimara kwa mara.

No comments

Latest Articles