Mayai yanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingiwa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nyin...
Mayai yanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingiwa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nyingi naprotini ya kutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu.
Mayai yanafanya kazi nyingine mhimu nayo ni kuzilinda seli za mbegu za kiumekutoshambuliwa na vijidudu nyemelezi kirahisi ambavyo vinaweza kuwa sababu yakupungua kwa mbegu zako.
Viinilishe vilivyomo kwenye mayai vinafanya kazi ya ziada ya kuzifanya mbeguzenye afya zaidi na zenye nguvu zaidi jambo ambalo ni mhimu kwa ajili ya uzazikwa upande wa mwanaume.
Kumbuka ni mayai ya kuku wa kienyeji tu yanayofaa kwa kazi hii. Kila siku kulamayai mawili mpaka matatu kama una tatizo hili la kuwa na mbegu chache.
No comments