Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Asali na Mdalasini Tip

Asali ina madini navitamini nyingi ndani yake, wakati mdalasini wenyewe una kalsiamu, chuma,vitamini C, vitamini K, manganizi na nyuzinyuzi ...

Asali ina madini navitamini nyingi ndani yake, wakati mdalasini wenyewe una kalsiamu, chuma,vitamini C, vitamini K, manganizi na nyuzinyuzi (fiber).
Vinapoungana vitu hivi viwili hufanya dawa moja mhimu sana ya kuongeza kinga yamwili. Kunywa chai yenye asali na mdalasini mara kwa mara kunaongeza kinga yamwili, nguvu ya mwili na nguvu ya ubongo kwa pamoja.

NGUVU TIPS

  1. Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayohaijachakachuliwa,
  2. ongeza vijiko vikubwa 8 vya mdalasini ya unga changanya vizuripamoja.
  3. Acha ndani ya bakuli kubwa ili iwe rahisi kuikoroga vizuri kilaunapoitumia.
  4. Lamba vijiko vikubwa vitatu kila unapoenda kulala.
  5. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.
  6. Hata baada ya mwezi mmoja kuisha bado nakushauri uendeleekuitumia asali hivi maisha yako yote au hakikisha haipiti siku bila kunywa aukula chakula chenye asali yenye mdalasini ndani yake.

Unaweza kuitumia kila sikukwenye mkate kama mdabala wa siagi au blueband au ukaitumia kwenye juisi nakwenye chai kama mbadala wa sukari. Au unaweza kuweka vijiko vikubwa vitatundani ya glasi moja ya maji na unywe yote kutwa mara 2 amabapo husaidia piakutibu uchovu mwilini.

No comments

Latest Articles