Blueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengihupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini...
Blueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengihupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini.Blueberries ina virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidiamzunguko mzuri wa damu mwilini.
Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume. Vilevile, blueberries zinanyuzinyuzi ( fiber ) ambazo husaidia kuondoa kolesteroli (Cholestrol) mwilinikabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko mzuri wa damuhusaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi.
No comments