Page Nav

HIDE

Breaking News:

latest

Ads Place

Fahamu Umuhimu Wa Pweza Na Chaza

Hizi ni aina za samakiambazo huvuliwa baharini. Kulingana na watafiti, samaki hawa huwa na madini yazinc na chumvi kwa wingi. Madini hayo ya...

Hizi ni aina za samakiambazo huvuliwa baharini. Kulingana na watafiti, samaki hawa huwa na madini yazinc na chumvi kwa wingi.

Madini hayo yanajulikana kwa kusaidia uzalishaji wa vichocheo vinanvyoleta msisimko wa mwili wakati wakati wa tendo la ndoa.
Wataalam na wanasayanzi wa ndani kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili na wa Kimataifa wamethibitisha kuwa supu ya pweza ina uwezo wa kuongeza nguvu za kiume.
Wataalam hao wanadai kuwa supu hiyo inafanya kazi hiyo kwa asilimia kubwa tofauti na madawa mengine ya kemikali.

No comments

Latest Articles